
Basi nikamuitikia tu sasa nitafanyaje na ndio tajiri yangu. Hata hatukuenda sehemu tulikaa tu mule mule kwenye gari , tunapiga story basi saa mbili akasema naima kwaiyo vipi nikurudishe nyumbani . Mmh leo nilimshangaa uyu baba wala hakunipeleka kwenye mahoteli kula jamani khaaah yaani tulikaa kwenye gari adi saaa 2 tunaongeaga tu adi nilichoka mtu hataki ata umshike yaani . Ila basi nikawa najichekesna chekeaha pale.. adi muda wa kuondoka . Nikasema hamna Derick we niache hapa hapa maana kule nimetoa nipo kwa shoga angu apo chini wala sio mbali. Derick akasema shoga ako kweli au unanizingua tu . Nikasema
0 Comments