
kanairo ukikunywa brand kubwa anakupeleka mpaka kwa nyumba Yako anakusafisha Kila kitu, from Electronics, laptops, smartphones, bank account, mpesa to fuliza yote, Huyu ni sharp girl hapa mjini na wanaume wengi wamekuwa victim kwake. Kama ukona report yeyote kuhusu mahali aliko, report to the nearest police station.
Soma zaidi
0 Comments