NAKUPENDA ZAINAB❤️ 16 to 18

NAKUPENDA ZAINAB❤️ 16 to 18

🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩 Sehemu ;16 na 17 Mwandishi;lissa wa huru media Nilikuwa ninahasira balaah watu walipokuja wakaanga kunivuta wananitoa nje apo mimi nalia tu ,basi maness wa hospital wakawachukua pamela na mwenzake wakawawahisha hospital ya pale pale chuo ,mimi nikapelekwa police daaah , nilikuwa na maumivu kinoma wala sikujuta kwa nilichokifanya niliona shega tu. Basi nikawekwa rumande nililala siku moja ,siku ya pili baba akaja kunitoa naona chuo kilimpigia simu ,uzuri wote walikuwa wazima japo pamela aliumia sana ,police wakasema tulipie fidia tu ,na tutasimamia gharama za matibabu mpka wagojwa watoke hospital ,daaah mzee akakubali tu, basi baba akalipia fidia ndio nikatoka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments