NAKUPENDA ZAINAB❤️ Sehemu ;14 na 15

NAKUPENDA ZAINAB❤️ Sehemu ;14 na 15

WhatsApp;0742443214 Mwandishi;lissa wa huru media Basi bwana apo mambo ya zainab nikawa nishasahau kabisa , nikawa busy na pamela ,matokeo yalitoka nikafaulu kwenda advance ila mzee akagoma akasema niende nikasomee uwalimu wa secondary masomo ya science ,sikubisha na mimi niliona fresh nisije nikajizungusha wakati ajira zenyewe za manati ,basi kweli nikaapply chuo kigoma uko cha uwalimu, nikamwambia pamela mimi naenda chuo uzuri nae akanambia anaenda uko uko kigoma ,nikaona unyama naenda na utamu wangu ,maa a nilikuwa naogopa nisije nikaenda chuo akachukuliwa bure , Basi harakati zikaanza nilifanikiwa kujiunga na chuo ,nilitangulia mimi kwanza ,baada ya mda na pamela naye

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments