
WhatsApp;0742443214 Mwandishi;lissa wa huru media Nikasema pande zipi nije ,akasema mimi nipo apa kizwite sokoni saizi ,nikasema basi sawa nakuja sio mda ,akasema kalibu. Basi mtoto wa kiume nikajiandaa tena nilipendeza mno ,nywele nilichana mara 10 , 10 sijui kwanini nilikuwa natamani zai anione nikiwa msafi ,nimependeza kwanza nilikuwa na shauku ya kumuona hatari , nikauramba mwenyewe ndio nikaanza kwenda sasa kwa zai ,apo nimevaa nguo nzuri ya kuvaa kanisani mimi nikavaa kwa zai 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Adi dogo maiko akaniuliza et bro leo kwani ni jumapili 🤣. Nikakausha nikasepa zangu adi kizwite sokoni nilipofika maeneo yale nikampigia zai simu nikamwambia nishafika
0 Comments