NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 141 na 142

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 141 na 142

Mwandishi; LISSA Nollan akanmbia nn sasa mpenzi, aya naomba unyamaze kabisa, mi leo nataka ucheke tu, kama kulia ushalia sana mama ,nikasema sawa, basi akanishika mkono taratibu mpaka ndani, nyieeeee sitaki kuwambia, mie mwenyewe sikumbuki mala ya mwisho ni lini niliingia katika duka la kishua na classic kama hili, ila leo nakuja kukabiziwa kabisaa na baby na ananmbia ni la kwangu, nyieeee nilihisi napagawa mm, nilizidi kumkumbtia baby, wooow woow duka lilikuwa zuri na kubwa mnoo, nikamuuliza ni lini umeamza kuandaa iki kitu, nollan akasema since that day umeniomba biashara, nilihusi hii itakufaaa mke wangu, chapu nikaagiza mzigo china ,nikatafuta

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments