NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 90

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 90

Basi bwana nakumbuka nilipitisha mwezi mmoja bila ya kuona siku zangu, aseee niliogipa.sanaa, yani sijaingia katika siku zangu, alafu shida ya jady, sio kama nollan kabisaa, jady akishamaliza kunifanya na mauchafu yake anamwagia umo umo ndani , kwaiyo niliogopa sanaa, yani.niliogopa mnooo, nikahisi kabisaaa ,inawezekana ikawa nimedaka mimbaa , niliogopa mnoo, hivi ikitokea nimepata mimba nafanyaje mm, japo mwili wngu hakuwa na shida zozote ,amabazo zilikuwa zinaonesha na mimb, hapaan, nilikuwa sitapiki wala siumwi, ila niliogpa tu ile kupitiliza mwezi bila ya kuingia kwemye siku zangu, mh basi bwana siku iyooo nikatoka mwenyeewe nikaenda mpaka duka la madaw ,tena ata

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments