
Basi alipomaliza kuniingilia ,akanicha pale kitandani yeye akaondoka zake, aseeee nilikuwa na maumivu mnoooo , yani moyo wangu ulikuwa unaniuma aswaaaa, na kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuhusu hiii mimba, nyieeeee nilikuwa natetemeka mm, nitafanyaje , na mimba inakuwa, na nollan ni amebakisha miez 6 tu, anarudi, hivi anakuja kunikuta na mimba, nitamueleza nn, nilililia sana nikiwa pale kitandani, nilikuwa nategemea ata jady atastuka juu ya hili suala, ila wala ata hakuonesha kujali kabisaa, nikaona ila apa kulia haitanisaidia mm. Nikaona kama kanipa pesa ,basi mm apa napambana hii mimba natoa , basi hii siku mm nililala na hii akiri, na
0 Comments