
Mwandishi;lissa mwalla Akasema wote hawa wako?ndo mana ulikua mnene sa…hakumalizia kusema akaniangalia akaangalia watoto akasema neria,kumbe hawa ni wajukuu zangu?nikasema hapana mama sio wako,akambeba mmoja Yule wa kiume akasema neria hii sura ni ya preston kabisa akaiwa mdogo alikua hivihivi na huyu hapa akamchukua nae akamuangalia na mwingine huku machozi yakimtoka akasema umeteseka peke ako mapka watoto wamekua hivi?umezaa kwa uchungu mara tatu we mtoto kwa wakati mmoja peke ako?si mimi wala mwanangu alikuwepo kukutia moyo mwanangu jamani neria,kauli ya mama mkwe ilinifanya nilie sana nilikumbuka ukiwa wangu na kama nisingekua na marafiki basi ningekua peke angu.akasema pole mwanangu na
0 Comments