
Mwandishi;lissa mwalla Mama mkwe wangu alikua kimya tu, mama akajifanya kulia eti umekuja umekuja mama mkwe ikabid atoe pole tu na kuja kukaa nilipo mimi. Mama alikosa pozi kabisa wakawa wanaongea na mwanae neema.nilitoa pesa mm ba mma mkwe za kutengeneza jeneza Tulienda makaburini tukazika bibi yangu kisha tukarudi nyumbn. Kina mama waliitana kikao watoto wote wa bibi sisi tukabaki ndani tu. Neema alikua wala hanisemeshi na mm hata sikua na muda nae mara tukaskia mabishanao na mama akaanza kulia huko nikasema yeees wanamsema mana kazidi alimtukanaje mamake? Walimsema sana huko na alilia sana japo tulikua hatuskii maneno zaidi wanasema
0 Comments