
🌦️🌦️🌦️🌦️ Mwandishi;lissa mwalla nilichanganyikiwa sana nikaona sielewi kama siskii vizuri,nikasema unasemaje?akasema ndo kama navokuambia moto ulianza gafra inasemekana kuna watu walichoma.nikasema kwa nii walichoma jamani hapo machozi yananitoka,kweli niliamini msemo usemao dam nzito kuliko maji jmn,mambo yote nilisahau niliumia mpaka nikaanza kushindwa kupumua.p akachukua simu wakaendelea kuongea wakaongea sana kisha akakata simu mm nalia sana hapo.sikuamini kilichotokea.p akampigia baba ambae nae alikua anajua matatizo yetu lkn tulimwambia yameisha tyr.baba akasema wamechoma nyumba usiku wa kuamkia leo mm na mke wangu tulisafiri kidogo ivo tumerudi muda huu ndio tunaambiwa.nikasema ilikuaje na tufanyaje baba?akasema inabidi tuwasaidie kuwauguza.nikasema walikua wamelala wakati nyumba inaungua
0 Comments