ROLENZO SEASON O2 SEHEMU YA 21...24

ROLENZO   SEASON O2  SEHEMU YA 21...24

Tulipoishia... Tukaambiwa wote twende  tukalale,  roho ilikuwa inaniuma mie nafukuzwa shule hivi hivii??     Wakati tumefika ndani maana tunalala kitanda kimoja na Annet  yeye analala kwa chini mie juu , nikamwambia Anneth nimekukosea ninii mimi mpaka unanilipa hivii??"    Akanambia  "wewe embu usinichanganye sawa, kwani umekamatwa peke yako et umeshikwa peke yako, au ni wewe tu ndio baba yako ameitwa hapa ,Wewe Tena niacheee kabisa  niacheee!!!" Nilifikiria huyu binti atajishusha angalau aniombe msamaha lakini wapi, ndio kwanza akazidi kunikazia kama mtu alotamani kweli nifikwe na mabalaa.. Nilijuta nilitamani iwe ndoto lakini wapi usiku ulikuwa mfupi sana siku hiyo, sikupata

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments