NERIA Sehemu ya 8

NERIA Sehemu ya 8

Mwandishi;lissa mwalla Nilijikuta naumia sana,walinichambua mnoo levo alikua anasimulia kila kitu anasema dem hajui chochote hata perfume hajui ananuka kikwapa kinoma sijui katokea wapi Yule dem,mnilipe bana pesa yangu haraka nishamaliza kazi mm kwa shida sana afu ananiganda kinoma nimemchoka kama nini anatuma vimeseji mnoo rafikia ke mooja akasema kwa nini usimblok tu ajikatae.akasema ndo navotaka nifanye simpendi kinoma yani hata watu wakijua nimemtia Yule dem wataniona mm wa ajabu sana.nilisogea huku nikilia niaksema inatosha levo inatosha nishakuskia nimekuelewa asante sana kwa kunidnaganya,kweli mm mjinga.levo alistuka lkn rafiki zake wakacheka wakasema hili dem kweli zombie sasa limetokea wapi yani kaibuka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments