
๐ซ Andrea Pirlo hatakuwa kocha mkuu mpya wa Timu ya Taifa ya Italia baada ya Shirikisho la Soka la Italia kusitisha makubaliano yaliyokuwa yakitarajiwa kukamilika leo.
⚠️ Rais wa Shirikisho, Giovanni Malagรณ, ameripotiwa kupinga uteuzi huo kutokana na ushirikiano wa Pirlo na kampuni ya kamari kutoka Urusi.
Soma zaidi
0 Comments