POSSESSIVE BABY DADY 🔥 5

POSSESSIVE BABY DADY 🔥 5

MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 " SITAKI , sitaki nakwambia niache leo sipo vizuri kabisa nina majanga yangu sitaki kusumbua na na watu. Aliongea Manisha huku machozi yakimtoka. " Sawa Nimekuelewa sasa nataka kujua una tatizo gani? " Mimi namsubiri dada yangu nimuelezee shida zangu. " Basi sawa kama hiyo shida inafaa kumueleza dada yako na sio mtu mwingine. Ayman aliingia ndani kwaajili ya kupatiwa huduma. Baada ya muda kidogo alifika Amara. Alipomuona Manisha alishituka. " Wewe mbona upo hapa muda huu? Amara alisogea karibu. " Na mbona unalia? " Dada umeniponza ona sasa nalipishwa hela kwa kosa ambalo sio

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments