POSSESSIVE BABY DADY 🔥 6

POSSESSIVE BABY DADY 🔥 6

MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Ayman alianza kupunguza nguo zake akabaki na boksa kisha akaenda kujilaza kitandani. Manisha nae akaanza kupunguza huku akijificha ficha . Alipomaliza alisogea kitandani. Ayman hakuchelewesha mambo alimvutia kwake na kuanza kutimiza alichotaka. Walipomaliza Manisha alivaa nguo zake kisha akachukua bahasha ya pesa . Alipoondoka pale hotelini alienda moja kwa moja nyumbani kwa Tina kukabidhi zile pesa. " Pesa zenu hizi hapa. Tina alipokea na kuzihesabu. " Wewe umepata wapi hizi pesa? "Mengine haya kuhusu pesa hizo hapo na kazi sitaki. Manisha aliondoka kwa hasira. BAADA YA WIKI TATU KUPITA. Manisha alianza kujihusi hajielewi alihisi kuumwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments