
MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Manisha alienda kukaa kitandani huku akiwa ameshika zile noti mpya za elfu kumi kumi. " Huyu Ayman kaambiwa na nani kama nina mimba na hapa nyumbani kapajuaje? Alijiuliza maswali ambayo hakupata majibu yake mara moja. " Potelea kote Mradi amekubali kulea acha nimlelee mimba yake na mengine tutajua mbele ya safari. Muda ule ule alitoka na kwenda kufanya manunuzi ya vitu vya kula alivyokuwa anatamani . Bado akiwa barabarani alipigiwa simu na Ayman. " Hallow. " Mbona kama unatembea upo wapi? " Nipo njiani . " Unaenda wapi? " Narudi nimetoka kufanya manunuzi. " Sawa
0 Comments