SABABU NI MAMA YAKO 1 to 6

SABABU NI MAMA YAKO 1 to 6

Mtunzi: Sehemu: 01 Mahusiano mengi na ndoa nyingi zinavunjika kutoka na kuwepo third party(mtu wa tatu) kwenye hayo mahusiano hasa hasa wazazi,mawifi,mashemeji na mashangazi,ndoa nyingi zinakufa sababu kubwa ikiwa ni mwenzi mmoja kukosa maamuzi juu ya mahusiano yake na kuiachia familia imfanyie maamuzi wakati ni kitu ambacho hakifai,madhara na matokeo yake Kama ataacha familia imfanyie maamuzi atatakiwa kwenda vile wanataka na sio yeye anavyotaka. Anza nayo......... Naitwa Daviana Mimi NI mzaliwa wa mbeya,mnyakusya pure kabisa lakini tulihama,tukahamia jijini Arusha,Mimi nimelelewa na mzazi mmoja tu ambaye NI baba yangu,mama yangu alifariki baada tu kunizaa Mimi kwahiyo sikuwahi kupta malezi ya mama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments