
Mwandishi: Kitty Fefe Baada ya mazungumzo yetu nilianza kujihisi tofauti 😆😆😆sijui ndo kupenda😊😊nahisi kama kuna kitu kipo moyoni😃😃😃yaani kama nahis raha tu nikimuwaza Hamid😁😁😁 Ilipita wiki moja....siku hiyo ilikuwa weekend nilikuwa nmekaa chumbani nikisoma kitabu cha hadithi ili kuondoa mawazo.Hamid akanitumia sms "Radhia, jiandae tuende.” Sikujua tunakwenda wapi, ila nilihisi kuna jambo la dharura.Hivyo sikutaka kuuliza.., Tulitoka mimi na yeye tu....wazazi huwa hawahoji maana wanachukulia sisi ni ndugu😆😆😆Tulipofika mjini, akaegesha gari kando ya mgahawa mmoja....tukaagiza vinywaji.....dakika chache baadaye, Amina akaingia. (Kumbe Hamid alimuita)😅Alikuwa amevaa kisketi kifupi🙌🙌na croptop....akawa anaangaza angaza kumtafuta aliyemuita.... Kipindi anaingia pale mgahawani alikuwa na tabasamu, lakini tabasamu
0 Comments