RADHIA ✨✨ 15~17

RADHIA ✨✨ 15~17

Mwandishi: Kitty Fefe Hamid akawa amekuja kwenye gari....Tukaondoka,tulipofika nyumbani, Hamid akasema “Basi niambie sasa… huu mtoko wenu ulikuwa na maana gani?” Hamid aliuliza “Kaka tulikuwa tu tunapita beach… hakuna lolote baya.” Rahma akajitetea “Samahani kaka… hatutarudia tena.”🥺🙏 Mimi niliamua kuomba msamaha Hamid akatutazama kwa muda, kisha akatikisa kichwa. “Mnafikiri mimi sijui? Nina ushahidi wote wa mnachofanya. Na bado Rahma unakataa…? Hii inanikera zaidi....Radhia wewe mimi najua ni msichana ambaye unajitambua sana,huu ujinga ulikuwa huna kabisa...kwanini sasa unataka upotee kujihusisha na mambo yasiyo na maana...!? Umeniudhi sana na nikiona hili linajirudia sijui hata nitakufanya nini....!!!?" Akachukua fimbo akatuchapa tatu tatu kila

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments