
SEHEMU 01 Mwanzo....... Sijui hata walianzaje anzaje mpaka wawili hawa kuwa na mahusiano ilhali ni mtu na shemeji yake. Nakumbuka nilikutana na Samson mume wangu uwanja wa ndege, wote tulikuwa tunaludi kutoka safarini. Hiyo ndo ilikuwa siku yetu ya kwanza kuonana na hata kwa fahamiana kwa uchache. Tulibadilishana mawasiliano na aliniahidi atanitafuta. Tulidumu kwenye mahusiano kwa mwaka mmoja tu. Sam alitamgaza nia ya kutaka niwe mke wake. Sikuwa na mashaka nae kabisa kwani nyakati zote alikuwa mwema sana kwangu. Ndoa ilipita ikiambatana na sherehe kubwa ya kifahari, familia pande zote zinajiweza kifedha. Miss ya kwanza ndoa ilikuwa tamu sana. Mwanaume
0 Comments