RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU 4--5

RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU 4--5

SEHEMU 04 Ilipoishia........ Sam alinifikisha kazini kwangu tuliagana. Niliendelea na majukumu yangu ya kazi japo akili yangu haikuwa sawa kabisa. (Kwaiyo unanipuuzia mimi kisa huyo mgumba) Maneno haya yaliushikilia ubongo wangu. Nilikuwa mbali sana kimawazo hata sikujua kama boss wangu yupo mbele yangu. Alinishtua kwa kunishika bega. "Sijawai kukuona katika hali hii sijui nini kinakusumbua. Hauwezi kuendelea kufanya kazi nenda nyumbani ukapumzike" boss aliongea alafu aliondoka kuludi ofisini kwake.......... Endelea......... Niliondoka kazini kabda ya kwenda kwangu nilienda nyumbani kwetu. "Unaumwa?" Baada ya salam mama aliniuliza. "Sijisikii vizuri japo nipo sawa kiafya" "Una maana gani kusema hivyo?" "Mama mkwe wangu yupo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments