
SEHEMU 11 Ilipoishia......... Kwa hasira nilipakua chakula nilianza kula kwa uchungu huku najikaza nisidondoshe chozi. Mume wangu alikuwa ananiangalia kwa huruma. Namna alivyokuwa ananitazama ndipo nilihisi hasira zaidi. "Siku hiyo nilikula kupita kiasi mpaka Sam alijua kuwa nakula kwa hasira na sio kwamba nina njaa sana" "Wife inatosha sasa. Hujawai kula namna hii, utavimbiwa" "Unajali kuhusu mimi?" "Yes ni mke wangu lazima nijali" Niliachia tabasamu alafu niliendelea kula. Kikiisha naongeza tena mpaka Sam aliingilia kati aliichukua sahani yangu ya chakula.................. Endelea....... Baada ya Sam kunipokonya sahani yangu niliondoka nilienda chumbani kwangu. Nilivua nguo zote niliingia bafuni. Huko nilifungulia bomba la
0 Comments