RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU SEHEMU 13

RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU  SEHEMU 13

Ilipoishia....... Collin aliingiza mkono mfukoni alitoa wallet yake alichomoa elfu kumi tatu alinipatia. Aliniambia nipande boda boda, nilimshukuru basi alinitafutia boda boda aliongea nae bei na akalipia kabisa, nilishangaa mbona amenipa hela ya nauli na bado amenilipia nauli😳. "Shika hii namba yangu. Naomba usiache kunitafuta unapokuwa na tatizo. Kuanzia sasa mimi ni rafiki yangu" Niliipokea tukaagana pale safari kuludi kwangu ilianza.................... Endelea......... Nilifika nyumbani niliwakuta mume wangu na Edina wanaludi. "Unatoka wapi usiku huu?" "Mazoezi" Nilimjibu short alafu nikaelekea chumbani, sikutoka tena chumbani. Usiku huo mume wangu hakulala chumbani, ilikuwa ni mala ya kwanza mimi na mume wangu kulala vyumba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments