RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU 14 to 15

RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU 14 to 15

SEHEMU 14 Ilipoishia......... "Kesho nakuja nyumbani kwako, nisimkute Edina. Endapo nitamkuta nitakupa radhi maisha yako yote. Mtoto mbaya sana wewe. Masikini Malaika huenda anajua mimi nipo upande wenu ndo maana hajaleta malalamiko kwangu. Ebu fanyeni kuondoka kwanza msije kunipandisha presha mimi. Ondokeni mbwa nyie" Mkwe aliwafukuza kama Mbwa.............. Upande wangu nilikuwa nimekaa nje kibarazani nawaza hili na lile ndipo nikakumbuka kuhusu Collin. "Namba yake ninayo sijui nimpigie hata nimsalimie tu maana alikuwa mwema kwangu" Nilijishauri mwenyewe. Nilienda chumbani nilichukua namba ya Collin nilimpigia. Siku iliita dakika chache tu ilipokelewa. Sauti yake ilipenya vizuri kabisa masikuoni mwangu, ajabu nilipata msisimuko na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments