ROLENZO SEHEMU YA 25

ROLENZO   SEHEMU YA 25

Tulipoishia... Hivi ikitokea ukamjua baba mzazi wa mtoto wako utaweza kumsamehe kweli kwa kile alichokutendea??" Nilishtuka baada ya saji kuniuliza hilo swali tena ni swali aliuliza katika hali fulani hivi ya kuhuzunisha na kutia huruma... Kwanini unauliza hivo?? Akakaa kimya kidogo afu akasema nimeuliza tu Rolenzo wala sio kwa nia mbaya.. "Najua hupendi kukumbushwa kuhusu hiyo ishu lakini ninatamani sana kujua ni uamuzi gani utauchukua endapo kama baba mzazi wa kassy akija kupatikana??" Nilikaa kimya kwa muda nikawa nakumbuka unyama nilioutendewa hiyo siku machozi yalinitoka kwa mkupuo huzuni ikatanda usoni kwangu Kisha kwa sauti yenye maumivu makali nilimjibu saji nikamwambia...

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments