ROLENZO SEHEMU YA 31

ROLENZO   SEHEMU YA 31

Tulipoishia... Nilihisi wivu kisha nikamwambia pokea huenda kakumiss pokea umsikilize.. Saji alipokea ile simu mke wake akamwambia baby nina habari njema.. Saji akamuuliza zipi?? Umejifungua?? Hapana baby! Kumbe nini?? Nimepata viza kesho nakuja huko uingereza , toba! Unakuja kutafuta nini?? Saji aliuliza kwa hasira! Mkewe akamwambia ninakuja kujifungulia huko! Baby haiwezekani uniache Tz peke yangu na ujauzito wako alafu uende kukaa huko nje et unamhudumia mtoto ambaye huna hata uhakika kama ni wako.. Maria stop! Unavuka mipaka sasa... Mipaka gani baby.?" Mi nakwambia ukweli...kwanza huyo mwanamke aliniambia mwanae akipona ataondoka kabisa na hatutowahi kumuona! Nashangaa bado yupo kamganda mume wangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments