
Tulipoishia... Naomba uwahi darasani tutaongea siku nyingine Rolenzo... Sawa saji bye badae...nilishuka kwenye gari nikamuacha saji akiwa ananiangalia huku sura yake ikiwa imetawaliwa na mawazo mengi sana!.. Anamaanisha siku gani?? Nilijiuliza huku nikielekea darasani... Nilifanya mitihani yangu huku nikiwa nimegubikwa na mawazo mengi sana..nilikuwa najiuliza kuhusu msamaha anaoomba saji ni msamaha wa kosa gani?? Alafu pia ujio wa mke wake kutakalika kweli huko ndani?. Mi naiona safari ya Tanzania ileeeee imewadia yani akifika huyo mwanamke atatufurumusha wote mimi na mwanangu.. Nilikuwa nishaanza kuuona mwanga kwenye maisha yangu lakini ghafla giza hilo linakuja sijui itakuwaje Mungu wangu naomba tu usimame upande
0 Comments