ROLENZO SEHEMU YA 39....40

ROLENZO   SEHEMU YA 39....40

Tulipoishia... Saji alipiga mpaka magoti akaishika miguu yangu akiwa anahitaji niweze kumsamehe🥹🥹...mwanangu alikisikia kilio cha baba yake akaamka akaja kuangalia nini kinaendelea.. Mama mbona Daddy analia?? Aliniuliza huku akimuinua baba yake kutoka chini🥹...nilijikuta tu ninawakumbatia huku machozi mengi yakiwa yananitiririka... Tulilia wote mpaka mtoto wetu ambae wala hakuwa anajua kinachoendelea.. Saji alipiga magoti tena mbele yetu akaniambia mimi na kassy naombeni mnisamehe nisamehe mimi babako mwanangu...nisamehe mama kassy nakuomba nisamehe mimi please.. Nilimuinua nikiwa na mwanangu tulimkumbatia nikamwambia sina kinyongo tena na wewe amini nimekusamehe baba kassy❤️.. Alinikumbatia huku akionyesha tabasamu la uchungu🥹❤️nilimwambia ya kale yote yamepita tizama sasa yamekuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments