
Tulipoishia... Huyu anaongea nini??anamaanisha kassy au?? Akili kama ikaanza kufunguka😪nikaanza sasa kuunganisha matukio siku ile dactari alisemaje?? Nimerudisha pesa zako zote kwa sababu asilimia 99...99 zinaonyesha huyo ni mtoto wako🥹.. Mambo yakazidi kunijia kichwani mengi mpaka ile siku saji alivokuwa anajaribu kuniomba msamaha nikawa sielewi kwa hiyo alikuwa anamaanisha msamaha wa siku ile pale hotelini ?? Aaise kwahiyo ni yeye ndo alinibaka?? nilisimama machozi kama limefunguliwa bomba😭 kwahiyo wewe ndo ulini....wewe ndo uli😭😭😭usinishike saji usinishikeeeeeee! Wewe ndo ulinibaka eh??💔😭nililia mno saji alisimama akawa anajaribu kunituliza wapi... Alipiga magoti chini akaniambia naomba unisamehe Rolenzo naombaaa 😭😭najutia kwa kila kitu nilichokifanya siku
0 Comments