THE BOSS Sehemu ya 73

THE BOSS Sehemu ya 73

Nikasema sawa mama hakuna shida, mimi nakuaidi mama ,nitatulia mnooo, hautaamini, na nitadumu ndani ya ndoa yangu, mama akasema sawa, basi mama akaanza na kunifundisha na mwengine kibao, sijuh nimeheshimu mume, sijui nimjali na akitaka tendo nisimnyiee, apoo sas nilichekea moyoni mana mie.na avish hatujawahi kufanya lolote lile, yani bado ata hatujuani, basi bwana tulikaa sana kwa maam ,mpak kula tulikula pale tena avish alikula na baba, na mie nikala na mama, na mpaka kufika jioni saa 11 ,ndo mimi na mume wangu tukaaga, basi tulivyotoka apoo ,nikashangaaaa tunaelekea njia ya mwenge tena na sio morocco ya nyumbani,.nikamuuliza avish ,akasema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments