
Basi mpenzi akaniweka sawaaa, akanitulizaa mnoooo, na alinihakikishia kabisaaa kuwa akirudi tu ,apa tunaondokaaaa, aseee nilitamani ata arudi kesho, ata sikuwa sawa ,ila sikutaka kumuonesha yeye kabisaa, mana nilishajua kuwa mm na yeye tuna safari ndefu, alafu sikutaka kumchanganyaa, basi nikamwmabia mimi niko sawa kwa sasa mpenzi akanmbia sawaz ngoja nimwambia aunt lina akuleteee supu ya kuku na chapati kwanza ule mke wangu , nyiee uyu baba ,kweli akakata naona akampigia aunt lina ukoo, na baada ya dakika 5 nikaletewa supu ya kuku nzito na chapati, mpaka nikacheka aunt kina akasema aahaa mtoto una bahati kumpata mwanume kama nollan, baba
0 Comments