
Kiukweli kwa sasa miee ,ndo nikawa mama wa familia, yani nahudumia familia kwa kila kitu, ni kutokana na mwanaume niliye naye na wlaa hana shida avidh, ni mtu poa sanaa, yani nilikuja kumuelewa mnooo, ila sasa akichukia ahaaaa ni anannuana mnoo, avish anajua kununa, na akinuna haongei kabisaa ni kimyaaaa, utajiongelesha apoi mpak ukome, na ugomvi wetu mkubwa ilikuwa ni kuondoka pasi na kuaga, ahaaaa, ak8jua umetoka umeenda ata dukani na hujamuaga ,iyo ni dhidaa, ataongea apoooz akimaliza anananua ata week , yani nilikuwa nikimsimulia dada hawa ni anacheka , ananambia ni wivu uoo ,anakupenda sana, so wala usijali, nikawa
0 Comments