BINTI MIA 01

BINTI MIA 01

BINTI MIA 01 Mwandishi: Chief na simulizi zake Kwa jina natambulika kama Mia, kidada flan hivi chenye miaka kadhaa. Kwa mamangu nimezaliwa mimi na dadangu anaitwa Caren. Kwa baba yeye tupo watatu maana alizaa na mama mwingine mtoto wa kiume anaitwa Hans. Nilipokuwa Form Four mwezi wa saba nikaneng’eneka nikashika mimba. Mwezi wa nane ikawa na mwezi mamangu alinidunda nyieee akasema nitaje ni ya nani. Nikataja ni ya Max. Huyo Max familia yake na yetu zilikuwa marafiki (family friend). Mamangu akamtaarifu mama Max. Max akaulizwa akakubali. Uzuri hata mimi nilivyomwambia nina mimba yake hakukataa, akasema nijitahidi nisijulikane nifanye nayo NECTA

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments