
Basi avish aksema so kama una mimba ndo unanaitisha ama, nikasema hapana sikutishi mume wangu, ila mimi nateseka sasa ,usiku silale presha ipo juu, hii mimba ata itatoka ,nifate mume wangu plsssss, avish akanmbia hapana kaaa kwenu kwanza ,nikasema avish plsss mi sipo sawa fikilia basi hali yangu, plsss mume wangu, avish akanikatia simu ata hajanijibu, nyieee uyu baba acheni tu, basi nikajiliza apoo mpaka nimelala nikaja kustuka asubuh saa 10,nikaenda kuoga kisha nikaenda kutia udhu, niliswali swala ya asubuh, na nilikuomba sana mungu aikoe ndoa yangu, yani niliombaaa sanaaaa, mana mime wangu mm nampenda sana, yani snaaaaaa, basi nilivyomaliza
0 Comments