
Alikiba anaweza kutoa wimbo mmoja tu Kwa mwaka ulio fanya vizuri lakini bado akaendelea kushindanishwa na Diamond mwenye nyimbo Saba,,,? Pata picha hiyo, jiulize kwanini Diamond asishindanishwe na Marioo anaye toa nyimbo nyingi na zinafanya vizuri? Huo ndo ujini wenyewe Sasa. Alikiba anaweza kukaa hata miezi nane bila kutoa wimbo na bado akaendelea kuongelewa, je Kuna msanii anaweza kufanya hivyo? Alikiba usiku wa Leo ndo anaenda kufanya show kwenye Fainali ya muungano Cup pale Zanzibar, umejiuliza ana nyimbo Zipi zinazo fanya vizuri sokoni kuliko marioo na Jux au harmonize? Jibu ni hapana wote wame mzidi, ila huo ndo ujini wenyewe.
0 Comments