USINIACHE MIMI TAFADHARI NAKUPENDA Epsd 15.

USINIACHE MIMI TAFADHARI NAKUPENDA Epsd 15.

Siku nyingine ilifuata Francesca aliamka na kuanda chakula kisha alimuamsha mume kwa kigoli cha asubuhi asubuhi Kisha waliingia kuoga pamoja na baada ya hapo Francesca alimchukua crisis na kumpeleka kupata kifungua kinywa Na baada ya kifungua kinya crisis alimuambia mkewe naomba nitoke mkewangu kunakitu nahitaji kukisovu Francesca akamuambia ok ila naomba jitahidi uwahi kurudi nataka tule chakula wote siunajua siwezi kula bila wewe mpenzi Crisis alimjibu usihofu kipenzi changu nitarudi mapema ili ufurahi sipendi kukuona unakasirika Crisis alienda ndani na kujiandaaa na kisha kutka akaingia kwenye gari na kuondoka Alikwenda hadi ruvu na kutuchukuwa mimi na aika na kutupelekadi maeneo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments