
Mwandishi: Maggie Maggie My WhatsApp no 0744058444 Nilifurahi sana na kisha nilirudi ndani nikaenda kumchugulia aika kama kalala vizuri kisha nilienda chumbani kwangu Nilijiongelea mwenyewe hakika nyumba ninzuri sana ona leo naishi kama marikia katika ufalme wangu Na binti mfalme wangu hakika ninaraha sana nilitoka na kuzunguka kila sehem nikiwa na furaha Ninyumba kubwa yenyekuvutia na inakilakitu cha thamani na kila ninachokitaka nakipata kwa sasa Kisha niliamua kwenda kulala chumbani kwangu nililala kwa raha chumba nikikubwa chenyemvuto kilakilakitu Wanachopenda wadada wamjini hakika nilivipata chumbani kwangu Crisis alifika kwake lakini alichelewa tena na alikuwa tayari amesha kula Alimkuta Francesca amesha lala
0 Comments