YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️ SEHEMU YA 08

YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️   SEHEMU YA 08

NA MR AB Jerry aliendelea kuninyonya ulimi ndipo ghafla yule mwenzake akaondoka kwa hasira kuelekea mlangoni ** Haya mambo ni kama vile ukichaa, ilinibidi nimuachie Jerry na kusogea nyuma kidogo “Vipi mke wangu? Haujanimiss?” Aliniuliza “Jerry” Niliita “Naam Anitha wangu” “Ulipoingia ndani hujaona chochote?” Nilijikuta naropoka bila kujua madhara gani yanaweza yakatokea kutokana na swali hilo Jerry aliangalia kule na huku halafu akapanua mikono na kuniuliza “Kivipi? Mbona sikuelewi, sijaona nini kivipi?” aliniuliza “Aamh, I mean mbona sikuelewi?” Nilimuuliza “Hunielewi?” Aliuliza akinishika kwa nguvu “Mke wangu umenisaliti?” aliniuliza kwa hasira huku akinitikisa “Hapana sijakusaliti ila” nilisema “Ila nini? Nambie hivi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments