YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❤️ SEHEMU YA 09

YENYE KIRUNGU  πŸ’› πŸ’š ❤️   SEHEMU YA 09

MR AB TULIPOISHIA “Ndio, baba yangu alinipa mbinu za kumrudisha mtu aliyechukuliwa msukule arudi duniani kwa mara nyingine......nilijaribu kufanya hivyo ila wao hawakurudi maana mtaalam alisema kwamba hawakuchukuliwa misukule” “Yesu.....” Nilipagawa huku nikiwaza mengi, hizo zilikuwa habari mpya kwangu, niliogopa sana maisha ya kishirikina. ENDELEA “Usiogope” Jerry aliniambia “Unanisikia Anitha? Mimi nilizaliwa na pacha mwenzangu....tukiwa na miaka minne tu alifariki nikabaki peke yangu” “Whaat.....Jerry!!!” Nilisema kwa mshtuko wa hali ya juu. Yote haya yalinifanya niogope nilikuwa nimeshtuka kwani nilijua fika nimeshatembea na msukule. Sikuamini “Mbona unashtuka?” Jerry aliniuliza “Jerry, kwanini unapenda kunificha baadhi ya mambo katika maisha yako, ona sasa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments