A TOUR TO REMEMBER 03

A TOUR TO REMEMBER 03

Baada ya vipindi mi nikaondoka zangu kwenda home. Wakati natoka getini nilikuwa bize natafuta simu yangu kwenye pochi. Wakati nahangaika kuitafuta hata sitazami mbele, na simu nayo siioni nikajikuta nachanganyikiwa labda nimeipoteza hapo nahangaisha akili nimeacha wapi simuu?? Hatimae niliipata simu yangu, yaani pochi zingine bwana nusu niumwe uchizi jamani, kumbe ilikuwa imejibana huko pembeni kabisaa. Nilipo ichukua tu nainua macho hapa na hapa, niligongana na mkaka, simu yangu ikaanguka chini jamani ki simu chenyewe ndo hichi tu. Nilijukuta nasema uwiii simu yangu miee, mikono nikaweka kichwani baada ya kuona juu kuna mpasuko wa kioo. Sasa ndo nikamtazama vizuri nilie

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments