
Ilibidi tu nitoe huku uhakika wa kupata tena pesa ndo hakuna kabisaa. Siku hiyo sikuingia class mana tulikuwa na heka heka za kumuuguza baba. Ijumaa asubuhi kaka aliniita akanisihi sana. Yaani kaka angu alikuwa anaongea huku anahangaika kutafuta neno la kuniambia ili tu nisimfikirie sijui vibaya au nisiwe mnyonge. Yaani basi tu. Ila kikubwa bwana mishe zake zimefeli, eti yaani mimi sintaenda tour. Kaka alinipa maneno kibao ya kunitoa wasiwasi, sikuonesha mfadhaiko mana hata hivyo baba alikuwa bado yupo hospital afu hali yake ni mbaya bado daah. Basi bwana ng'ombe wa maskini hazai... Nilienda chuo hiyo siku nimenyongea sana. Kwanza
0 Comments