A TOUR TO REMEMBER 05

A TOUR TO REMEMBER 05

Tulifika na kaka mpaka nje ya geti, akanambia maneno maneno pale ya kuniaga kwakua tuliwahi kufika na muda ulikuwa bado wa kuondoka. Kaka anambia twende kwa hiyo msimamizi wenu kwanza, basi mi niliona aibu nikakumbuka ile text ile ya kumchamba mi najua ujinga wa Eliza uwiii. Nilikuwa natembea kama nataka kujikwaa hivi, kaka ananiuliza we unashida gani mi mh mh kumbe moyoni naona hayaaaaa hatari. Kaka mbele mi nyuma, tulipo karibia kwenye ofisi akanambia embu pita we mbele mi sipajuai hata. Ndo nikatangulia. Sasa nimefika nikajikaza kuingia mule ofisi, uso nikasema nauinamisha wala simtazami kwanza ye kwanini hakupokea simu yangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments