A TOUR TO REMEMBER 06

A TOUR TO REMEMBER 06

Nasikia ki harufu cha yule kaka mweeh alo, Eliza anaongea kama kasetiwa basi mie hata siongei mana Karimu anaonekana sio muongeaji sanaaa, kwahiyo sikutaka kuwa muongeaji. Jamani hivi mnajua hata moment ninayo ipitia mie kwanza?? Hata sielewi ila nahisi tu huyu mkaka kama ataniona basi anione nikiwa perfect, utafikiri hata amenambia ananiangalia mie ndo najimaliza kabisa. Basi bwana safari yetu humo ilikuwa na raha kama zote. Unajua ile wanafunzi mnapo kuwa kwenye safari kama hii kuna kila aina ya mambo mladi tu msipooze. Kuna muda nyimbo zilikuwa zinapigwa humo watu wanajimaliza kucheza hatari, kuna couple humo zinajilamba mate mbele yetu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments