
Nikamwambia samson hapa pako poa unaweza tu niachia mkono , akasema et Ooh aah sawa sawa salma , ndo akaniachia Akawa ananitembeza tembeza huku palikuwa pazuri kweli "Tukae hapa kidogo salma au unaonaje" ilikuwa chini ya mti mkubwa kweli ,akanambia tukae huku ananizuia mkono wangu kama ananivuta mana nilikuwa mbele yake kidogo.. "Anhaa sawa" nikajirudia zangu na mie Tukawa tumeketi hapo , mbele ya huo mti kuna mto umetuliaaa Nikawa namuuliza maswali kuhusu mto yaan maswali maswali si unajua tena mimi na yeye hatuna story mana mi sina mazoea sanaa na watu zaidi tunajuana tunasalimiana hivyo imeisha "Yaan salma we
0 Comments