A TOUR TO REMEMBER 07

A TOUR TO REMEMBER 07

Basi story zao zilikuwa zinanikera hatari, nikamwambia Eliza embu waambie hao mie nataka kulala bwana, niliongea kwa sauti ya chini Eliza vile hana hata mshipa wa haya akawaambia nyie bwana tunataka kulala, kaongeleeni njee, yaan eliza bwanaaa mpaka nilicheka kwa nguvu Nao hata hakuna aliejibu pakawa kimyaaa , tukalala zetu, ndoto za ajaabu kichwan anakuja tu karibu najisema aweee salma wewe Karimu sio Type yako embu achaaa huo upuuzi achaaa Nikapotezea mawazo ya kipuuzi mpaka usingizi ukanipitia zangu Palikucha bwana, Hatua ya kwanza tuliambiwa kuwa kuna mapango yapo juu ya milima huko ni mapango ya kihistoria , hayo ndio tunaanza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments