AMIDA Sehemu ya 21 na 22

AMIDA Sehemu ya 21 na 22

Sielewi ata nimelala saa ngap, mungu wangu, yani nakuja kustuka ni saa 12, nina njaaa mno, si mnajua jana sikuwa nimekula ,kile chakura alikula justin, basi nikainuka kwanza nikaenda kuangalia dirisha langu, mshenzi mwanaume uyu kanipindishia na nondo, yani si dirisha langu la kioo, so kwenye kioo alipita vizuri, ila dirishani kanipindishia nondo, alfu ata sielewi amejuaje, et mm nalala apaaa, mshenzi mkubwa uyu, yani apoo kila nikikumbuja kitu amenifanyia jana, mpaka nachekaa, nikikumbuka nna mwanaume na yupo kwenye process za kunioa, ndo nasema mungu wangu kemea sheteni, uwiiiii, basi nikalock kioo changu vizuri, asije akaingia tena, mna mh simuamini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments