
Basi nikabaki kimya na kweli akavaaa zake fresh ,ila nguo zake nyengine aliachaa, akachua begi lake na pc tu, ndo akaondoka navyo, yani nilibaki namsindikiza na macho tu mana sina cha kuamua nafanya nn sasa, ila niliumia mnooo, yani ata sijuh anaishi wapi , sielewi chochote kumuhusu ,mungu wangu, na sio mtu wa kujielezea kabisa uyu baba, yani justin unaweza kukaaa nae mpaka usiku, akaongea mala 2 tu, basi mie nikajirudia zangu kitandani, ila usingizi ulishakata nikalala tu, ila ile kujilaza sio usingizi, na saa 12 nikaamka kisha nikajiandaaa , na moja kwa moja nijawahi kazini, but all time nipo
0 Comments