
Uy mama akanmbia ,sikia amida kuwa na amani kabisa binti yangu, haiwezekani, siwezi kfanya iko kitu buta na ww naomba uwe makini sana na watu wa namna ile, unaweza kuingia matatizoni nikasema usijali kabisa maam, akanmbia sawa na kweli uyu mama akaondokaa, apo kuna dawa akinambia anaenda kunuchukilia za justin kutumia atakapoamkaaa, nikasema saw, nikamtuma dinna ndo aenda na dr ili aludi na dawa, mie nikarudi chumbani kukaa na justi, yani namshika mkono. Namuangalia, mda wite nalia, yani sijuh kwa nn asiachane na kazi zake za kipumbavu hizi, mwili wake una majeraha mengi mnooo kwa nn hivi, nilikuqa nalia kabisaa,
0 Comments