
Asa mnazani nafanyaje na mtu ndo kashaamua kuondoka, ikabidi nimuache tu, na sikuwa ata na namba zakee, nyieeeeee zilikata weeek 3, sijamuona kabisa justin,mnajua mpaka nikawa naogopa au kapatwa na kitu kibaya. Mana aliondoka akiwa hayupo sawa apa, ila ni alijikaza tu, yani mnajua sikuwa sawa, ata furaha sikua nayo, nikawa nammis sanaa, yani kuna mda natamani tu kuwa nae, kulala nae. Kula nae. Japo ni kauzu , ila mir nilishamzoea acheni tu, basi siku iyo nakumbuka hamza alinipigia simu, alafu akaniomba dinner , sikuwa na shida ,mie nikampigia tu. Dinna kuwa asinihesabia chakura cha usiku, sababu nna mtoko ,
0 Comments